Nyumba hi ina mita za mraba 170 na bwawa la kuogelea. Lakini ukipenda unaweza kuogelea baharini ilio kilometa moja na nusu kuktoka nyumba. Kuongeza usalama nyumba imezungukwa na ukuta mrefu ulio na waya sa stima. Mlangoni umesimamiwa na askari. Tumepanda miti tofauti kama mnazi, ndizi na mapapai.
Mpambo na mpangilio ya nyumba imefanywa kwa namna inaolingana na uishi wa waafrika na ulaya. Nyumba hi ina vyumba viwili vya kulala. Kila chumba kiko na mashabiki dari na pia vyandarua. Kila chumba kiko na bafu lake. Ghorofani kuna sebulini ilio na mita za mraba 65. Kwa chumba hiki kuna kitanda na sofa. Chumba hiki kina dirisha mbili na dirisha moja inaelekea bwawa la kuogelea. Nyumba hi inwaza kuchukua watu 6..
Ukitaka mpishi anaweza kuenda pamoja nawewe dukani kununua kila kitu unahitaji kupika chakula ya ladha. Mpishi wetu ana wahudumu wageni wanaotambua vyema taaluma yao; wakiongozwa na ulimi mtamu na ukarimu kwa wateja wao. Mpishi wetu ni hodari naatakuchangamsha na upishi wa chakula vya ulaya ama kienyeji.
Tumeajiri wafanyi kazi watatu. Housmaid, mpishi na bustani anayeshugulikia miti, maua na bwawa la kuogelea